Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja
akimkabidhi zawadi Kiongozi wa msafara wa Ujumbe wa JICA, Bw. Shinya
Tomonari.
Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa
vinavyotengenezwa na wafungwa katika Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam
Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa vinavyotumika kuwafundishia wafungwa
ufundi wa magari.
Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa
vinavyotengenezwa na wafungwa katika Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam
Post a Comment