Malori ya Mchanga
yakitoka kumwaga kifusi cha mchanga katika maeneo ya magomeni usalama kwaajili
ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kwa kasi
Ujenzi wa barabara ya
mabasi yaendayo kwa kasi ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana kwenye
picha
Mafundi wa wakiendelea
na kazi za ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo kasi katika maeneo ya Magomeni
Usalama kama wanayoonekana katika picha
Picha Juu ni Ujenzi wa
Daraja linajongwa katika Eneo la Kimara Mwisho katika mradi wa ujenzi wa
barabara ya mabasi yaendayo kasi.
Barabara ya Morogoro
katika eneo la kimara linavyooneka kwenye picha huku ujenzi wa barabara hiyo
ukiendelea kwa kasi


Post a Comment