
Mjumbe wa Shina namba moja la Kisesa mkoani Ruwa, Simoni Kibona akimsalimia kwa furaha, Kinana alipofika kwenye tawi hilo, jana na kushiriki kikao cha hilo ikiwa ni sehemu ya kuhimiza viongozi kutembelea mashina na matawi ya CCM ili kuimarisha chama.

Wajumbe wa mkutano wa shina namba moja la Kisesa mkoani Rukwa wakimsikiliza Kinana wakati akiwahutubia, aliposhiriki mkutano wao uliofanyika jana.


Post a Comment