Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI



Ujenzi ukiendelea palipokuwa kituo cha zamani cha Daladala Cha Jamatini Kilichopo Mkoani Dodoma.
Barabara za Ndani ya Mji nazo zikikarabatiwa kwa kiwango cha lami
Daraja jipya likijengwa maeneo ya round about ya kuelekea Area A
Moja ya Vibao ambavyo vitakuwa vikionyesha majina ya mtaa ambavyo Karibu Dodoma Nzima Vimewekwa
Mafundi wakiendelea na Ujenzi palipokuwa kituo cha Zamani cha Daladala Cha Jamatini Mkoani Dodoma
Kituo Cha Zamani cha Mabasi yaendayo Mkoani pakikarabatiwa kama panavyoonekana katika Picha
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top