Dr Erasto Sylvanus
(kushoto) akimpima mtoto waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi
kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania
na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr Yakubu Sanga
(kushoto) akimhudumia msanii maarufu wa televisheni Bi. Kiroboto alipofika
katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya
inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini
wa Vodacom Foundation.
Sehemu ya madaktari wa
Chama Cha Madaktari Tanzania - MAT wakiwahudumia wangonjwa waliofika katika
viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya
inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini
wa Vodacom Foundation.
.Dr Elibariki Kalua
(kulia) akimpima sukari mama Felister Raymond alipofika katika viwanja vya Hindu
Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha
Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom
Foundation.
Dr Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

Post a Comment