Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari na Watendaji wa Wizara ya Afya ya China uliofika Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar Ukiongozwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa China Bw. Feng Yong.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi zawadi ya kasha lililosheheni viungo vya Zanzibar Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa China Bw. Fenga Yong baada ya kumaliza mazungumzo yao.