Hapa
ndio Kisiwa cha Mbudya ambapo Vodacom imewapeleka wateja wake kwa ajili ya
mapumziko ya week end jumamosi ya jana.
Wateja
na wafanyakazi wa vodacom
Kushoto
ni Steve Goyayi kutoka Stanbic Bank, wa tatu kutoka kushoto Asubisye Mwakatobe
kutoka Vodacom na wengine ni baadhi ya wageni washiriki kutoka world
Bank
Katikati
ni Abdallah Singano kutoka Stanbic na kulia ni CEO wa MSD
Kutoka
kushoto Steve Goyayi, Henry Kapinga na Abdallah Singano
Kushoto
ni Idd Mbita Mkurugenzi wa FTS Services akiwa na Joseph Kusaga CEO wa Clouds FM
na Clouds TV mwenye Tshirt ya kijani.
Wateja
na wafanyakazi wa vodacom wakishuka kwenye boti maalum iliyokodiwa kwa ajili
yao.
Kulia
ni Henry Kapinga akipiga picha ya kumbukumbu na CEO wa Clouds Joseph
Kusaga
Wadau
kutoka Vodacom wakipata vinywaji ndani ya kisiwa cha
Mbudya
Rosalynn
kutoka vodacom akiwashukuru wateja kwa kushiriki
Idd
Mbita kutoka FTS Services akiwashukuru wateja kwa kushiriki na kuwaomba
tudumishe ushirikiano wetu.
Vodacom
Tanzania wakishirikiana na Business Partner wake FTS Services jana waliwapeleka
wateja wao katika Kisiwa cha Mbudya kilicho katika bahari ya
Hindi.
Post a Comment