Kaimu Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserika linalofanya ushawishi na utetezi juu ya utawala bora katika sekta ya afya (SIKIKA) Bw. Patrick Kinemo akiongea na waandishi wa habari leo mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa wadau wa kujadili usambazaji wa dawa katika vituo vya afya na hospitali pamoja na changamoto zinazoikabili sekta ya dawa nchini.
Loading...
Post a Comment