 |
Kiungo
wa Zanzibar, Khamis Mcha ‘Vialli’, (kulia) akigombea mpira na beki wa Eritrea,
katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA
Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo
zilitoka sare ya bila
kufungana.
|
 |
Beki
wa Zanzibar, Nassor Masoud ‘Chollo’, (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki
wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na
Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu
hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
 |
Nahodha
wa Rwanda, Haruna Niyonzima (katikati) akidhibitiwa na wachezaji wa Malawi,
katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA
Tusker Challenge 2012 uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala,
Uganda usiku huu. Rwanda ilishinda 2-0, mabao ya Jean Baptiste Mugiraneza dakika
ya 37 na Haruna Niyonzima dakika ya
79.
|
 |
Wachezaji
wa Rwanda wakishangilia bao lao la kwanza
ushindi.
|
|
on Monday, November 26, 2012
Post a Comment