|
Rapa Nicki Minaj akishukuru kwa tuzo ya Msanii
Bora wa Rap/Hip-Hop wakati wa tamasha la 40 la tuzo za muziki la American Music
Awards kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre mjini Los Angeles, California, Marekani
juzi Novemba 18, 2012. |
|
Muimbaji Justin Bieber akishukuru kwa tuzo Msanii
Bora wa Kiume wa Pop/Rock wakati wa tamasha la 40 la tuzo za muziki la American
Music Awards kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre mjini Los Angeles, California,
Marekani jana Novemba 18, 2012. Justin Bieber alishinda tuzo ya kwanza ya usiku
wa jana huku akiwa amezungukwa na utata wa mahusiano yake ya kimapenzi
yaliyoyumba na kimwana Selena Gomez. Wakati akipokea tuzo hiyo alisema, "Hii ni
kwa wenye chuki." |
|
Justin Bieber akipigwa busu la kustukizwa na
mchekeshaji Jenny McCarthy wakati akipokea tuzo ya Albamu Bora ya Pop/Rock
kupitia albamu yake ya
Believe |
on Tuesday, November 20, 2012
Post a Comment