WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH DKT ABDALLAH OMARI KIGODA (MBUNGE), AMEIVUNJA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) KUANZIA SIKU YA LEO JUMATANO, NOVEMBA 21, 2012.
SABABU YA UAMUZI HUU NI KUTEKELEZA NIA YA WIZARA YA KUBORESHA UTENDAJI WENYE TIJA NA UFANISI KATIKA SHIRIKA HILO LENYE DHAMANA KUBWA YA KUSIMAMIA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA NCHINI.
UTARATIBU WA KUUNDA BODI MPYA UMEANZA.
IMETOLEWA NA
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA