Waziri Mkuu
Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini
Dar es Salaam mara mara ya kuongoza mkutano maalum wa Mpango wa kukuza kilimo
kusini mwa Tanzania (SAGCOT), akizungumzia umuhimu wa uwekezaji katika sekta ya
kilimo, kulia ni Waziri wan chi Ofisi ya waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji,
Dkt. Mary Nagu na Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Bw. Christopher Chiza.
Alfajiri
3 hours ago
Post a Comment