akiongea na EAradio mtoto
wa king majuto kupitia simu ya baba yake alisema
Hali ya presha ya Mzee
King Majuto imepanda na kuzidi kuwa mbaya baada ya
kupokea taarifa za msiba
wa Sharo Milionea hali inayopelekea mkewe na
yeye (Mwanae )kupeana zamu
katika kumhudumia ili kurejesha hali yake
katika hali ya kawaida.

Post a Comment