Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye msiba wa msanii,
Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam. Maganga alifariki Jumamosi
hii
Nape (kulia) akiwa
kwenye msiba huo
Msanii wa Bongo Movie,
Husna Maulidi 'Lishez', akitulizwa na wenzake, Babby Candy na Ketty wakati
akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu
John Maganga
Wasanii wa Bongo Movie
wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga
mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Stephen Maganga, baba wa msanii John Maganga
wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyama, Dar es salaam
Nape akizungumza na Rais
wa Chama Cha Bongo Movie wakati wa msiba huo
Post a Comment