Balozi wa Uholanzi
nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana
jijini Dar es salaam kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na Uholanzi
kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa
mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini . Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Ramadhan Khijjah. Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho
katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila pande yaani Tanzania na
uholanzi.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari
jana jijini Dar es salaam kuhusu msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na
Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za uchunguzi wa
magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini. Kulia ni Balozi wa Uholanzi
nchini Dr. Ad Koekkoek . Tanzania nayo inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho
katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa 50 kila pande yaani Tanzania na
Uholanzi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek
(kulia) wakibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 33 uliotolewa na
Serikali ya Uholanzi kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili kuimarisha huduma za
uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali 37 hapa nchini. Tanzania nayo
inatakiwa kuchangia kiasi kama hicho katika huduma hiyo ili kuwa asilimia 50 kwa
50 kila pande yaani Tanzania na Uholanzi.
Post a Comment