Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu
kulia) akiwa na ujumbe wake wakipata maelezo walipotembela katika mabwawa ya
ufugaji wa Samaki katika Chuo cha Uvuvi wa Samaki na ufugaji katika jimbo la
Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya
kiserikali
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipowasili
katika Chuo cha Uvuvi wa Samaki ikiwemo na ufugaji katika jimbo la Quang Ninh
Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya
kiserikali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe
wake wakiwa na mazungumzo na Do Quang Sang,(kulia) Mkurugenzi pia Mwenyekiti wa
Kampuni ya Bidhaa za Baharini,wakiwemo Samaki,Kamba pia usindikaji katika jimbo
la Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,akiwa katika Ziara ya
kiserikali
Baadhi
ya Viongozi wa Chuo cha Uvuvi wa Samaki ikiwemo na ufugaji katika jimbo la Quang
Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,wakiwa katika mkutano na ujumbe wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara maalum ya Kiserikali nchini humo.
Balozi
wa Tanzania nchini China ambae anawakilisha Vietnam Philip Sang’ka Marmo,(kutoka
kushoto) Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,na Mshauri wa Rais
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Mohamed Ramia,wakiwa katika
Mkutano na Uongozi wa Chuo cha Uvuvi wa Samaki na Ufugaji katika Jimbo la Quang
Ninh Mjini Halong nchini Vietnam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia)
akiangalia Samaki na Kamba waliokiwisha sindikwa ikiwa ni tayari kwa
usafirishaji, alipotembelea katika kiwanda cha (Quang Ninh Sea Products Import
Export Company) katika jimbo la Quang Ninh Mjini Halong nchini Vietnam,alipokuwa
katika ziara ya Kiserikali,(kushoto) Mkurugenzi pia Mwenyekiti wa Kampuni
kampuni hiyo, Do Quang Sang,(katikati) Nguyen Ha Dieu
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana
na Do Quang Sang,Mwenyekiti pia Mkurugenzi wa Kampuni ya Import Export
inayosindika na Bidhaa za Baharini katika Jimbo la Quang Ninh Mjini Halong
Nchini Vietnam,baada ya kutembelea Kampuni hiyo,akiwa katika ziara ya
Kiserikali.Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Post a Comment