|
Mwanasoka
bora wa zamani Afrika, Abedi Ayew Pele ambaye ni Balozi wa Shirikisho la Soka la
Kimataifa (FIFA) leo mchana ametembelea makao makuu ya klabu ya Azam, Azam
Complex, Chamazi, Dar es Salaam amejionea mambo mbalimbali, ikiwemo mradi wa
maendeleo ya soka ya vijana, Academy aliousifia sana na kusema utaleta matunda
makubwa Tanzania baadaye. Tazama picha za ziara
hiyo.
|
|
Kocha wa
Azam, Stewart Hall akimkabidhi jezi ya Azam, Sadi Kawemba wa
TFF |
|
Katibu wa
Azam, Nassor Idrisa akimkabidhi jezi ya Azam, rais wa TFF, Leodegar Tenga
kulia |
|
Meneja wa
Azam, Patrick Kahemele akimkabidhi jezi ya Azam, Ofisa wa FIFA aliye katika
msafara wa Pele, Emmanuel Maradas |
|
Kahemele
akimkabidhi jezi Pele |
|
Maradas
akimpa zawadi za FIFA Nassor |
|
Pele
akizungumza na Waandishi wa Habari |
|
Leo ni
birthday ya Pele, kocha wa timu za vijana za Azam, Vivek Nagul amemfanyia
surprise kwa kumtengenezea keki aliyomkabidhi alipofika Chamazi. Hapa anajilamba
baada ya kuonja keki |
|
Pele
akifurahia keki yake |
|
Pele akikata
keki yake. Kushoto ni Tenga
akishuhudia |
|
King Zubeiry
na King Pele |
|
King Pele
akiwa na viongozi wa Azam |
|
Kulia ni
Ofisa wa FIFA, aliye katika msafara wa Pele, Ashford
Mamelodi |
|
Stewart
akimjulisha kuhusu mambo ya Azam |
|
Kocha
Msaidizi wa Azam, Kali Ongala |
|
Khamis Mcha
'Vialli' akiogelea kwenye bwawa ndani ya Azam
Complex |
|
Stewart
akimjuza Pele |
|
Pele
akiingia kwenye Uwanja wa Azam |
|
Nassor
akiupokea msafara wa Pele |
|
King Pele
anashuka kwenye gari |
|
Pele katika
picha ya pamoja na viongozi na wachezaji wa Azam
Academy |
|
Pele akiwa
amezungukwa na bidhaa za Azam |
|
Tenga
akiweka chupa ya maji ya Uhai mezani baada ya kupiga funda za
kutosha |
|
Tendo bila
kuchelewa, King Pele akigungua 'kiemolo' cha Azam
Cola
chanzo: bin zubeiry Blog |
on Tuesday, November 6, 2012
Post a Comment