Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BEYONCE AKIWA NA MTOTO WAKE 'BLUE IVY'.

 

Mwanadada Beyonce ni msanii mrembo, mwenyekipaji cha kuimba na kuandika mashairi yake, huku akiwa pia na kipaji cha kuigiza.

Beyonce alizaliwa September 04, 1981 Houston, Texas akiwa anaitwa Beyonce Knowles.Beyonce ni mke wa rapa mahili wa siku nyingi anayekwenda kwa jina la Jay - Z au Jigga, wote kwa pamoja wamejaaliwa kupata mtoto wa kike anayeitwa 'Blue Ivy' anayeonekana katika hiyo picha akiwa na mama yake.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top