Hii ilitokea wakati wa show yake na Ommy Dimpoz pale Dar Live ambapo ghafla hali yake ilibadilika na ilimlazimu kupewa nafasi ya kupumzika kwa muda kadhaa...
Akiteta jambo na Rj
Baadae alipata nafuu kiasi lakini aliishia kujiinamia tu .... Pole sana Diamond Platinum
Post a Comment