Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bibi Arna Klepsivik,wakata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa sensa ya miti (woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msituwa Jozani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipima mti kujua upana wake baada ya kuzindua zoezi la sensa ya miti (woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa Jozani jana,(kulia) Naibu waziri wa Kilimo na Maliasili Mtumwa Kheir Mbaraka,na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Affani Othman Maalim,(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipima urefu wa mti alioupima urefu kwa kutumia chombo maalum cha kupimia miti,wakati wa uzinduzi wa zoezi la sensa ya miti (woody Biomass Survey)
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


Post a Comment