Lema,Mbowe na nassari
mahakamani
Mawakili wakiwa kwenye
viti vyao
Hawa ndiyo waliokuwa
wamefungua kesi dhidi ya lema
Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti
mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka
mahakamani.kulia ni joshua nassari
Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye
amekuwa na kesi hii tangu kuanza
Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya
kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana
Askari wakisindikiza
msafara wa wafuasi wa CHADEMA
hapa lema akiwa na
kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya
chadema
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameshinda rufaa yake ambayo ilikua inasikilizwa leo katika Mahakama Kuu. Ambapo Kesi ya kupinga ubunge wake ilifunguliwa na makada wa tatu wa CCM ambapo awali waliweza kumvua ubunge Lema Kwa Kushinda Kesi hiyo iliyotolewa Hukumu katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Baadae Lema alikata Rufaa kupitia kwa wakili wake Tundu Lisu huku wakiokatiwa rufaa wakiwa na wakili wao Alute ambaye ni kaka yake Tundu Lisu.
Rufaa hii imechukua sura mpya baada ya
Wakili wa Upande wa Utetezi Ambaye ni Mh Tundu Lisu akiwa ni mdogo wa damu kwa
Wakili wa Waliokatiwa Rufaa Mh Alute
Hukumu imeangalia haswa swala la Locus Stand ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo.imeangaliwa kwa kina na kuonekana kuwa kadiri ya pingamizi ya mawakili wa lema kimomogoro na Tundu Lissu,waliofungua shitaka dhidi ya lema hawakuwa na locus stand ya kufanya hivyo.kwa hiyo mengine yote yanakuwa null and void.hukumu haikuchukua hata nusu saa.so lema ni mbunge halali wa arusha mjini tangia leo

KAULI YA MBOWE JUU YA USHINDI WA LEMA
Freeman Aikaeli
Mbowe
Tuna kila sababu ya
kumshukuru Mungu, kwa maana tulianza nae na tutamaliza nae. Nichukue nafasi hii
kumpa hongera Kamanda Lema kwa kushinda dhuruma, Pia nichukue nafasi kuwajulisha
naianza safari ya kuelekea Karatu ambapo nitakuwa na mkutano wa hadhara na
wananchi, peoples.
Post a Comment