Baada ya Godbless Lema
kushinda ubunge wake jijini dar es salam huko arusha ni furaha katika makundi
mbalimbali,Vijana wamesimama katika makundi madogo madogo na wale waendesha
pikipiki maarufu kama bodaboda wakipiga hono mji mzima ambapo watu maweacha
kufanya shugulu zao na kujadili ushindi wa mbunge wa jimbo hilo la arusha
mjini.hali ni shwari kabisa..
Hapa ni eneo la wafanyabishara ndogondogo almaarufu kama wamachinga wakiwa eneo la viwanja vya NMC
Shamra shamra nyingi kwa kweli
Hapa ni eneo la wafanyabishara ndogondogo almaarufu kama wamachinga wakiwa eneo la viwanja vya NMC
Shamra shamra nyingi kwa kweli
Post a Comment