Huyu ndiyo kiongozi wa kundi la wezi wa power window Tanzania, Rama Jangiri…Hapa ni baada ya kukamatwa huko tegeta akiwa hotelini ...Alikamatwa Baada ya kuiba Vitu kwenye gari ya jamaa mmoja maeneo ya Mbezi katika vitu Alivyoiba ilikuwepo Galaxy Tab ambayo ilikuwa iansoftware ya Kutrack so mwenye nayo akamfuatilia kwa kutrace kutumia GPRS mpaka alipokamatwa Tegeta.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Kwa Undani5 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment