Kiungo wa Ivory
Coast na Manchester City Yaya Toure ametajwa kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa
mara ya pili mfululizo usiku wa Alhamisi, akimshinda mmpizani wake wa karibu
Didier Drogba
Kiungo huyo mwenye miaka 29 ambaye katika kipindi cha miezi
12 iliyopita, alichangia kwa kiasi kikubwa kuisadia Ivory Coast kucheza fainali
ya AFCON 2012pai alikuwa ndio mhimili wa Manchester City mpaka walipochukua
ubingwa wa England mwezi June mwaka huu.
Pia alikuwa mmoja wa wafungaji
katika mechi ya ushindi wa kombe la hisani dhidi ya Chelsea ambapo City
walishinda kwa 3-2 - huku akitoa mchango mkubwa kwa timu yake ya taifa kufuzu
michuano ya AFCON 2013.
Didier Drogba alishika nafasi ya pili, huku
kiungo wa Barcelona Alexander Song akikamata nafasi ya 3 katika tuzo hizo
zilizotolewa mjini Accra usiku wa kuamkia leo.
Mohamed Aboutrika
alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani ya
bara, huku timu yake ya Al Ahly ikichaguliwa kuwa timu bora kwa upande wa vilabu
wakati mabingwa wa Afrika kitaifa Zambia wakichaguliwa timu bora ya taifa. Tuzo
zilikuwa kama ifuatavyo
CAF AWARDS
Player of the Year - Yaya
Toure
African based Player of the Year - Mohammed Aboutrika
Women's
Footballer of the Year - Genoveva Anonma (Equatorial Guinea)
National team of
the Year - Zambia
Coach of the Year - Herve Renard (Zambia)
Club of the
Year - Al Ahly
Legends Award: Mahmoud El Gohary (Egypt) and Rigobert Song
(Cameroon)
National Women's Team of the Year - Equatorial Guinea
Fair Play
Award - Gabon national team supporters
Most Promising talent of the Year -
Mohamed Salah (Egypt and FC Basel)
Kiungo huyo mwenye miaka 29 ambaye katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, alichangia kwa kiasi kikubwa kuisadia Ivory Coast kucheza fainali ya AFCON 2012pai alikuwa ndio mhimili wa Manchester City mpaka walipochukua ubingwa wa England mwezi June mwaka huu.
Pia alikuwa mmoja wa wafungaji katika mechi ya ushindi wa kombe la hisani dhidi ya Chelsea ambapo City walishinda kwa 3-2 - huku akitoa mchango mkubwa kwa timu yake ya taifa kufuzu michuano ya AFCON 2013.
Didier Drogba alishika nafasi ya pili, huku kiungo wa Barcelona Alexander Song akikamata nafasi ya 3 katika tuzo hizo zilizotolewa mjini Accra usiku wa kuamkia leo.
Mohamed Aboutrika alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani ya bara, huku timu yake ya Al Ahly ikichaguliwa kuwa timu bora kwa upande wa vilabu wakati mabingwa wa Afrika kitaifa Zambia wakichaguliwa timu bora ya taifa. Tuzo zilikuwa kama ifuatavyo
CAF AWARDS
Player of the Year - Yaya Toure
African based Player of the Year - Mohammed Aboutrika
Women's Footballer of the Year - Genoveva Anonma (Equatorial Guinea)
National team of the Year - Zambia
Coach of the Year - Herve Renard (Zambia)
Club of the Year - Al Ahly
Legends Award: Mahmoud El Gohary (Egypt) and Rigobert Song (Cameroon)
National Women's Team of the Year - Equatorial Guinea
Fair Play Award - Gabon national team supporters
Most Promising talent of the Year - Mohamed Salah (Egypt and FC Basel)
Post a Comment