Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMA UNATAKA KUWA NA AFYA BORA YA KIMAPENZI, ZINGATIA VYAKULA HIVI HAPA

 


Kiujumla kilichokuwa kina uzuri moyoni basi kina hamasa katika mapenzi, hii hujumuisha hadi chakula, chakula Bora. Katika hali hiyo naomba nizungumzie kwa uchache vyakula ambavyo tukila huongeza afya ya mapenzi na afya ya miili yetu kwa ujumla.

1. Spinachi, Kabichi na Mboga Mboga!
Tena hivi kwa kwetu Tanzania vimejaa kibao tu na wala havina gharama sana, sema tatizo letu tukishakuwa na uchumi mzuri kidogo hutaki tena kula vyakula vya bei nafuu!


2. Chai isiyokuwa na sukari nyingi, na kupunguza vinywaji vyenye sukari nyingi mathalani soda.



3.Kula sana matunda kama mlo mmoja badala ya kula matunda kama kisindikizio baada ya kula, mfano wa matunda ni machungwa, mapeasi, ma apple, kwa watu wa mbeya "Mafyulisi" n.k.








4. Mayai ya kuku wa kienyeji ya kuchemsha












5. Glass ya Red Wine na Nyama kwa mara chache












6.Korosho, Karanga,Mbegu za Alizeti na Maboga.


7.Maharage na Protein kwa wingi.












8.Minofu ya samaki, mathalani sato!












9. Ngisi (hasa kwa wanawake) na pweza!














10. Vipande vya chocolate nyeusi kwa uchache.



11. Strawberies











12. Asali na Maziwa










Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top