Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akiwaonyesha cheti cha Ukaguzi wa
Mazingira ambacho hupatiwa Wamiliki wa Mahoteli na viwanda. Waziri Huvisa
alikuwa akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli jijini
Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Cherles Kikwanga akitoa Ufafanuzi wa jambo wakati wa mkutano na
Waandishi wa Habari kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira
Dkt.Terezya Huvisa
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitoa Ufafanuzi wa Vibali vya
Mazingira kwa Mwandishi wa Gazeti la Jambo Leo Bw. Peter Ambilikile wakati wa
Mkutano na Waandishi wa Habari leo Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli Mijni Dar
es Salaam.Picha na Ali Meja-Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira

Post a Comment