Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Travel
Partner akimtambulisha mkurugenzi wa Fedha Happnesy Eric Mashauri katika sherehe
ya kufunga mwaka iliyofanyika kwenye ukumbi wa Happy Dragon Chinese Restaurant
Kawe jijini Dar es salaam usiku huu, ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo na
wageni waalikwa mbalimbali pamoja na wateja wa kampuni hiyo wamealikwa ili
kusherehekea pamoja katika kufunga mwaka wa 2012
Mkurugenzi
wa Fedha Happness Eric Mashauri akijadili jambo na Anja Meneja Utalii wa kampuni
hiyo Kulia ni Jerad Luitiko Mhasibu wa Kampuni ya Travel
Partner.
Wadau mbalimbali wakiwa katika hafla
hiyo
Wageni
waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo






Post a Comment