Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh: Angellah
Kairuki akihutubia katika maadhimisho ya siku ya msaada wa kisheria Tanzania
inayoadhimishwa leo tarehe 8/12/12 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar Es
Salaam. Wananchi mbalimbali watapata msaada bure kutoka kwa wanasheria wa hapa
nchini. Kauli mbiu ya siku hii ni 'Msaada wa kisheria ni haki ya Binadamu na ya
Kikatiba'
Fortunata Kitokesya wakili kutoka chuo kikuu
cha Dar Es Salaam akimshukuru Mh. Kairuki baada ya Hotuba yake katika siku ya
msaada wa kisheria viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam leo
(8/12/12).
Baadhi ya Wananchi na Mawakili waliohudhuria
maadhimisho ya siku ya msaada wa kisheria Tanzania wakimsikiliza mgeni rasmi
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Picha kwa hisani ya mdau,
Farida Khalfan, Information Officer, Ministry of Constitutional and Legal
Affairs,
Mkwepu Street/Sokoine Drive, PO Box 70069, Dar es Salaam. Office Tel: +255 (0)22 2137823
Mobile: +255 (0) 658 270460, Email: khalfanfarida@yahoo.com, Website: www.sheria.go.tz
Mkwepu Street/Sokoine Drive, PO Box 70069, Dar es Salaam. Office Tel: +255 (0)22 2137823
Mobile: +255 (0) 658 270460, Email: khalfanfarida@yahoo.com, Website: www.sheria.go.tz
Post a Comment