|
Watu wakisali kuomba amani wakati ilipotimu saa
12:12:12, katika hafla iliyoitwa "Light Meeting" mjini Tama, magharibi mwa Tokyo
leo Desemba 12, 2012, wakiadhimisha siku ya mwisho kwenye karne hii ambayo namba
za tarehe zinatokea zikiwa zimefanana. Picha:
REUTERS |
|
Wanandoa wapya na viongozi wa tempo wakipozi kwa
picha ya pamoja wakati wa ndoa ya pamoja iliyoandaliwa kwa ajili ya kuiwahi
tarehe 12.12.12 mjini Kuala Lumpur, Malysia leo Desemba 12, 2012. Picha:
REUTERS |
on Wednesday, December 12, 2012
Post a Comment