Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina,
wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo Desemba 15, 2012 kurejea
nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Rais wa
Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 15, 2012
kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Picha na
OMR




Post a Comment