BEKI WA MANCHESTER
United , Rio Ferdinand akishangilia ushindi dhidi ya wapinzani wao Manchester
City baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Barclays Premier League na
kushinda kwa bao 3-2 katika uwanja wa Itihad.
Mchezaji wa Manchester
City, Kolo Toure nyuma akiwania mpira dhidi ya Ashley Young Manchester United
katika mchezo huo.
Mshambuliaji wa
Manchester City, Carlos Tevez mbele akitafuta namna ya kumiliki mpira dhidi ya
beki wa Manchester United, Rio Ferdinand.
Mshambulia wa Manchester
City, Carlos Tevez akizidiwa ujanja na beki wa Manchester United, Rafael Da
Silva.
Mchezaji wa Manchester
City, Carlos Tevez kulia akiwania mpira dhidi ya Phil Jones wa Manchester
United.
Mshambuliaji wa Manchester
United, Wayne Rooney chini huku Mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure
akijiandaa kuondoka na mpira.
Post a Comment