Imefahamika kwamba rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela anaumwa maradhi ya mapafu lakini hali yake inaendelea vizuri.
Waziri wa ulinzi wa Afrika kusini amesema hali ya mzee huyu wa miaka 94 ambae amelazwa kwenye hospitali ya kijeshi Pretoria ni nzuri.
Amelazwa hospitali toka jumamosi iliyopita kwa ajili ya vipimo ambavyo matokeo yake baadae yalionyesha amepata maambukizi kwenye mapafu yake na sasa anatibiwa.

Post a Comment