 |
| Mkurugenzi Mkuu
wa Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Malik Abdulla Juma akimuonyesha Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi eneo la Paa la Jengo la Wataalamu na
Madaktari Bingwa wa Cuba liliopo mkabala na Bustani ya Victoria Mnazi Mmoja
ambalo linahitaji kufanyiwa matengenezo.
Kushoto ni baadhi ya Madaktari wakiongozwa na Mkuu
wa Chuo cha mafunzo ya Udaktari wa Afya kinachosimamiwa na
Wataalamu wa Cuba Dr. Rebeca Lahera Cambara. Balozi Seif
alifanya ziara hiyo fupi kwa lengo la kuangalia mazingira wanayoishi wataalamu
hao na namna ya kutafuta mbinu za kuyaimarisha zaidi ili kuleta utulivu kwa
wakaazi hao.
|
on Wednesday, December 12, 2012
Post a Comment