Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

.Mandela kafanyiwa uperesheni wa kibofu

Nelson MandelaIkulu ya rais wa Afrika Kusini inasema kuwa Nelson Mandela amefanyiwa uperesheni mjini Pretoria, kutolewa mawe ndani ya kibofu nyongo na anasemekana anaendelea vizuri.


Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 94, alilazwa hospitali juma moja lilopita kutibiwa mapafu, na ukaguzi ukaonesha mawe hayo kwenye kibofu.

Katika taarifa iliyotolewa na serikali, imearifiwa kuwa madaktari waliamua kushughulika na mapafu yake Bwana Mandela kwanza, kabla ya kufanyiwa upersheni wa Jumamosi.

Wakuu wa Afrika Kusini wamelaumiwa kuwa hawakuwa wakieleza hali ya Bwana Mandela, ambayo imechochea wasi-wasi zaidi kuhusu afya yake



chanzo: BBC Swahili
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top