Balozi wa Uturuki
nchini Mh. Ali Davutoglu na mkewe Bi. Yasim Davutoglu wakiwagawia zawadi
watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA Sinza jijini Dar es Salaam
walipotembelea kituo hicho hapo jana
Akiongea na vyombo vya
habari Balozi wa Uturuki nchini Mh. Ali Davutoglu kuhusu maonesho ya mitindo
kwaajili ya kucangia ujenzi wa kituo cha CHAKUWAMA yatakayofanyika Jumamosi trh
08/12/2012, Serena Hoteli jijini Dar es Salaam. Katikati ni Bi Yasim(mke wa
balozi wa uturuki) akiwa amembeba mwanae anayemlea katika kituo hicho na kulia
kwake ni Katibu wa kituo cha CHAKUWAMA.
Wakiwa katika picha ya
pamoja Balozi na mke wake pamoja na baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo
hicho ndani ya chumba wanacholala watoto hao.
Haya ndiyo mazingira ya
ndani katika vyumba wanapolala watoto wa kituo cha CHAKUWAMA.
Loading...
Home » Unlabelled » MAONESHO YA MITINDO KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA CHAKUWAMA-8/12/2012 SERENA HOTELI
Post a Comment