Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo Amkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu alichotunga cha mwongozo wa stadi za namna ya kunukuu maandiko mbalimbali ya rejea kwa kazi za kitaaluma


Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu alichotunga cha mwongozo wa stadi za namna ya kunukuu maandiko mbalimbali ya rejea kwa kazi za kitaaluma. Vitabu hivyo ambayo Kinana naye alivikabidhi kwa Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, ni kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam
Kinana akimkabishi vitabu hivyo Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na mtunzi wa kitabu hicho cha 'Biginner's Referencing Resorce Book' Dk. Hildebrand Shayo na Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, wakati wa makabishiano ya nakala za kitabu hicho, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top