Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Bima la Taifa (NIC), Ndg. Justine Mwandu akifungua mkutano wa Sita wa
Mameneja wa shirika hilo katika hoteli ya Sea Scape iliyopo maeneo ya Mbezi, Dar
es Salaam tarehe 3 Desemba 2012. Kushoto ni Mkurugenzi wa Bima za Maisha, Bi.
Rose Lawa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Bi. Anne Mbughuni. Kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Bima za Mali na Ajali, Ndg Ndugu Kura Kalema
Mkurugenzi Mtendaji Bw.
Mwandu (kushoto) akiwakaribisha wajumbe katika mkutano. Anayesalimiana nae ni
meneja wa bima tawi la Songea Ndugu Moses Senje akifuatiwa na meneja mwenzake
tawi la Tanga Ndugu Romanus Hokororo na mwisho meneja wa Iringa Ndg Ally
Mohammed.
Kutoka kulia ni Bw.
Henry Machoke, Mkurugenzi wa Masoko, akibadilishana mawazo na Meneja Masoko wa
NIC, Elisante Maleko, na Meneja wa tawi la Ubungo, Segeja Mabula katika mkutano
huo.
Wakurugenzi pamoja na
Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya mkutano.


Post a Comment