Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA YA REDD'S MISS TANZANIA 2012 BRIGITE ALFRED KATIKA ZIARA MKOA WA KAGERA

 




Mwandishi wa Habari wa TBC akinasa matukio.
Miss Redd's Brigitte Alfred akisalimiana na wanafunzi .

Miss Redd's Brigitte Alfred akikabidhi msaada wa mafuta ya ngozi.

Miss Redd's Brigitte Alfred, akikabidhi fimbo ya kutembelea kwa mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo.

Wanafunzi wa shule ya Mugeza Mseto wakitokelezea kwa kunasa picha na Miss Tanzania.
Miss Redd's Brigitte Alfred akipozi na wanafunzi wa shule hiyo, ambao ni walemavu wa ngozi.
Brigete, akipozi kwa picha na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
Baadhi ya Walimu wa shule ya Mugeza Mseto wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Redd's Brigitte Alfred. Picha zote kwa hisani ya Bukoba Sports.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top