Mkurugenzi wa Uhisiano na
Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi
mfanyakazi wa duka la Kikundi cha akina Mama wa Kimasai cha (Maasai Women Fair
Trade Group) cha Simanjiro, mkoani Arusha, Debora Mwingira mfano wa hundi yenye
thamani ya sh. milioni 3.5 za kusaidia kulipia pango katika duka linalouza
bidhaa zao Mtaa
wa Kaunda Drive, Oyterbay,
Dar es Salaam hivi karibuni.


Post a Comment