“Kuna watu wanasema kwamba Chadema kina mpasuko na mgogoro mkubwa lakini tambueni kwamba Chadema kipo imara na kwamba hakiwezi kuyumbishwa na mtu/watu fulani fulani mwenye nia mbaya yakutaka kuvuruga Chama,”
“Chama chetu ni imara na kinachowajali wananchi na sisi hatuwezi kusikiliza maneno ya watu wanaotaka
kukivuruga chama kwa lengo la masilahi yao binafsi kwani lengo letu ni moja kutaka kuleta ukombozi wa
kweli kwa wananchi wa taifa hili.”Nasema "chama hakitawavumilia mtu au kikundi cha watu chenye mlengo wa kubomoa/kuvuruga chama tutamshughulikia"
Nawatakieni jumapili njema.
on Sunday, December 23, 2012
Post a Comment