Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (katikati),
akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga Castro (kushoto),
Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo
(kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini mara baada ya kuzungumza nao kuhusu kampuni
hiyo. Kampuni ya Labiofam inajenga kiwanda cha kutengeneza madawa ya kuulia
vimelea vya malaria huko Kibaha.
Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (katikati),
akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga Castro (kushoto),
Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo (wa
kwanza kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini na wajumbe wengine waliofuatana nao
kutoka Cuba . Kushoto ni Bi. Upendo Mwasha, Afisa Mambo ya
Nje.

Post a Comment