Hodihodi KIBAHA!
WANACCM NA WANANCHI WOTE WA MIKOA YA DSM, PWANI NA MORO, NAWAKARIBISHA KTK
MKUTANO WA HADHARA NITAKAOHUTUBIA KIBAHA. NJOO UPATE UKWELI, UPATE MATUMAINI
UANZE MWAKA VIZURI. NITAWAPOKEA MADIWANI WAWILI WANAOHAMIA CCM TOKEA CHADEMA.
TAYARI DIWANI WA IHANJA AMEJIUZURU JANA UDIWANI KWA KUKATAZWA KUSHIRIKI SHUGHULI
ZA MAENDELEO NA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA. NITAHIMIZA SHUGHULI ZA MAENDELEO,
KUKAGUA MIRADI NA PIA NITAONGELEA WABUNGE SABA 7 WA CHADEMA WALIOOMBA KUHAMIA
CCM TOKEA CHADEMA NA MAMBO YALIOWASIBU.
Loading...
Post a Comment