Mwenyekiti wa simba
Ismail aden Rage akiwa na emanuel Okwi jana usiku.
Emmanuel Okwi jana
alisaini mkataba mpya na simba mpaka mwaka 2014.Okwi alisaini mkataba huo jana
usiku kwenye hotel ya sheratoni jijini kampala uganda.
Okwi alisaini mkataba
hou mbele ya mwenyekiti wa simba ismail Rage na mwenyekiti wa kamati ya usajili
wa simba hans Pope,
Post a Comment