Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Padri, Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la
Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi ya mifupa ya Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es salaam leo, baada ya kupigwa risasi
sehemu za mdomoni na watu wasiojulikana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la
Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi ya mifupa ya Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es salaam leo Jumamosi Dsemba 29, 2012
kukupigwa risasi sehemu za mdomoni na watu wasiojulikana mapema wiki hii wakati
akisubiri kufunguliwa geti la nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar
akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha akiwa pekee yake. Rais Kikwete amempa Padri
Mkenda pole nyingi na kumuombea apate nafuu haraka.
Post a Comment