Rais wa Jamhuri ya
Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisaini kitabu cha wageni katika banda la
Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini
Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant, alipotembelea maonesho hayo
tarehe 7/12/2012. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. James
Nzagi.
Rais wa Jamhuri ya
Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisalimiana na mmoja wa wajasiriamali kwenye
maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi
katika viwanja vya Musee Vivant, alipotembelea maonesho hayo tarehe
7/12/2012.
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza
akiongea na wajasiriamali kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali
yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant
alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012.
Picha zote na Mary Mwakapenda
Afisa Habari, Wizara ya
Kazi na Ajira
Post a Comment