Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mahafali SAUT Mtwara

Naibu Waziri Waziri wa Kazi na Ajira Dr Makongoro Mahanga akihutubia
katika mahafali ya kwanza ya SAUT Mtwara yaliyofanyika Wiki hii mjini
humo
Baadhi ya wahitimu 1147 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara ambacho
ni kishiriki cha Saint Augustine (SAUT) wakivishwa Shahada zao katika
mahafali yaliyofanyika humo hivi wiki hii Mgeni rasmi alikuwa Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira Dk. Makongoro Mahanga.


Baadhi ya wazazi na walezi wakiwapongeza jamaa zao kwa kufuzu digrii
zao SAUT Mtwara, pichani Benjamin Thompson akimpongeza mdogo wake
Sikitu Jackob
Mmoja wa Wahitimu hao Sikutu Jackob akiivaa kofia ya alama ya digrii
yake katika mahafali hayo
Mara baada ya sherehe hizo wahitimu na jamaa zao walijiandalia sherehe
ndogo ndogo kama hizi mjini hapa katika vjikumbi a hoteli mbali mbali
mjini humo
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top