Rais wa Wapalestina,
Mahmoud Abbas, aliwaambia wafuasi maelfu katika Ufukwe wa Magharibi "tuna
taifa sasa".
"Tulikwenda New York,
tumebeba ujumbe wa uchungu na ndoto ya watu wetu kukabidhi kwa ulimwengu ujumbe
wa haki na uhuru. Ulimwengu umetoa kauli kwa sauti kubwa.
Umesema: ndio liwepo
taifa la Palestina. Haki za Wapalestina, ndio. Uhuru wa Palestina,
naam.
Uhasama, la. Makaazi ya
walowezi, hapana. Kuikalia Palestina, sivyo"
BBC
SWAHILI.
Post a Comment