
Redds Miss Tanzania 2012, Brigitt Alfred akiwa katika
picha ya pamoja na matron wake Irene Karugaba mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Bukoba, kushoto ni mkuu wa itifaki wa kamati ya maandalizi ya
Miss Tanzania, Alfred Makoye.

Redds Miss Tanzania 2012, Brigitt Alfred amewasili jana Mjini Bukoba kwaajili ya ziara ya kutembelea vituo mbalimbali vya watoto yatima, na baadae ataenda jijini Mwanza kwa shughuli kama hizo za kusaidia jamii.
Miss Redds Tanzania 2012
akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa hoteli ya victorious, Kulia ni
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Maandalizi ya Miss Tanzania, Alfred Makoye na
kushoto ni matron wa Miss huyo Irene Kalugaba.


Post a Comment