Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taswira Za Sherehe ya kumuaga balozi wa Tanzania Berlin Ujerumani


Mh balozi Ngemera katikati kwenye na wakazi wa berlin kushoto ni Khalfani na kulia ni Christina
Mzee Temu kulia akimpongeza Mh balozi Ngemera kushoto kwa kumaliza muda wake
Mr Waitara kulia kutoka ubalozini akimpongeza Mh balozi Ngemera wa pili kushoto kwa kumaliza muda wake, kushoto ni mzee kisalia
Mh Balozi Ngemera katika picha ya pamoja na maofisa wake kutoka ubalozini, kutoka kusho ni mama Kejo, Mh Balozi Ngemera na Mr Siwa, katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza muda wa wake iliofanyika nyumbani kwa balozi Berlin Ujerumani
Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe Peter Kazaura, Beatrice Thomas, Mr Baruti, Christina, Leo Kazaura na Selemani Batashi wakazi wa berlin.
Baadhi ya wageni waalikwa wakazi wa ujerumani kutoka kushoto ni Christina, Joyce, Beatrice,Gladis na Esther
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top