WASANII wa nyumba ya vipaji, Tanzania House of Tallent
‘THT’ usiku wa kuamkia leo waliangusha bonge la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live
uliopo Mabagala jijini Dar kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la
kukuza vipaji. Katika pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa burudani
hasa wasanii wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyojili
ukumbini hapo.
(PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL )
(PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL )


Post a Comment